Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

TV

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yanga SC na Simba SC zapangiwa timu hizi na CAF

138 Screen Shot 2017 12 13 At 3.03.51 PM.png

Wed, 13 Dec 2017 Chanzo: bongo5.com

Droo ya michezo ya awali ya michuano ya ngazi za klabu imetangazwa rasmi na Shirikisho la Soka Afriaka (CAF) ambapo imefanyika katika makao makuu yake huko Jijini Cairo Misri.

 

Jumla ya mashirikisho 59 yameshiriki katika michuano ya Klabu Bingwa  mwaka 2018 huku 54 yakishiriki kwa upande wa kombe la shirikisho.

Wakati mashirikisho nane pekee yakishindwa kushiriki ambapo timu zao ni pamoja na Cape Verde, Chad, Eritrea, Namibia, Reunion, Sao Tome na Principe, Sierra Leone pamoja na Somalia.

Klabu ya soka ya Yanga itaanza nyumbani katika mchezo wake wa Kombe la Kablu Bingwa Afrika kwa kuikabili timu ya St. Louis.

Bonyeza hapa kupa ratiba nzima ya timu zitakazo shiriki Klabu Bingwa Afrika.

Kwa upande wa klabu ya Simba ambayo inataiwakisha nchi kupitia kombe la Shirikisho Afrika imepangwa kucheza na Gendarmerie Tnale huku nayo ikianzia nyumbani katika mchezo wake wa kwanza.

Bonyeza hapa kupata ratiba ya jumla ya timu zinazoshiriki michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika.

Chanzo: bongo5.com