Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wasanii wa Simba waibuka kuelekea Simba Day

Video Archive
Wed, 15 Sep 2021 Chanzo: millardayo.com

Wasanii wanaoishabikia Klabu ya wekundu wa Msimbazi, Simba SC, leo Septemba 15 wamekutana katika duka la mfanyabiashara Fred Ngajiro maarufu Vunjabei, kuzungumza na waandishi wa Habari Kuelekea kilele cha Tamasha la Simba Day.

Kilele cha Tamasha la Simba Day itakua nu Septemba 19 katika Uwanja wa Mkapa Jijini Dar es Salaam.

Wasanii waliojitokeza ni pamoja na wale wa muziki na maigizo kama vile Mtitu, Monalisa, Natasha, Quick Racka,Beny Kinyaiya na wengine wengi.

Chanzo: millardayo.com