Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Uwoya aibua gumzo na jezi ya Simba SC

Uwoya Aibua Gumzo Na Jezi Ya Simba SC Uwoya aibua gumzo na jezi ya Simba SC

Thu, 25 Jul 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mrembo kutoka Bongo Muvi, Irene Uwoya ameibua gumzo la aina yake baada ya kupostiwa na Simba SC akiwa na uzi wa timu hiyo.

Gumzo ni kwamba inaaminika kwamba yeye inaaminika ni shabiki wa Yanga lakini ametumiwa na Simba kuzitangaza jezi hizo za msimu wa 2024-25 ambazo zimezinduliwa jana Julai 24, 2024.

Wengine wameenda mbali zaidi katika mjadala mitandaoni kwa kusema Uwoya kwa sasa ni mama Mchungaji inakuwaje atinge jezi hiyo lakini hata hivyo wengi wamesema hawaoni kama kuna ubaya kwani ishu hiyo ipo kibiashara zaidi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live