Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Tunakwenda kuwafundisha mpira wa CAF unavyochezwa - Ahmed Ally (+Video)

Video Archive
Tue, 17 May 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Simba wanakwenda kuwa wageni Jumatano hii mbele ya Azam FC, mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara (NBC Primia Ligi) 2021/2022.

Simba wanakamata nafasi ya pili mbele ya Vinara wa Ligi Young Africans na hivyo wanahitaji alama tatu ili kupunguza pengo la alama baina yao.

Azam FC wanatafuta nafasi ya kumaliza ndani ya nafasi nne ili kupata nafasi ya kuwakilisha Taifa katika michuano ya Kimataifa.

Msikilize Afisa Habari wa Simba akizungumza kuelekea mchezo huo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live