Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Trey Songz afuata nyayo za Idris Sultan

94 Idi

Tue, 12 Dec 2017 Chanzo: bongo5.com

Kweli Bongo Bahati Mbaya, unaambiwa Idris Sultan alipost picha akiwa amevaa boxer tu! katika mtandao wa kijamii wa Instagram na baadhi ya watu wakamshambulia bila kujua lengo lake ni kuonyesha mwili wake aliyoutengeneza kwa ajili ya filamu ya ‘The Blue Mauritius’ ifikapo mwakani lakini pia ndoto zake za kutangaza boxer za Calvin Klein.

Kama sio kuiga ni nini, naye Trey Songz amefanya tukio hilo hio la kupost picha yake akiwa amevalia boxer aina ya Calvin Klein na kuweka katika mtandao wa Instagram, ila baadae akafuta posti hiyo.

Idris akiwa amevaa boxer

Trey Song anaye akavaa boxer

Chanzo: bongo5.com