Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Tazama wachezaji wa Simba walivyotua kibabe Dar wakitokea kambini Misri - VIDEO

Video Archive
Wed, 31 Jul 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wachezaji wa Simba SC pamoja na benchi la ufundi, tayari wamewasili jijini Dar wakitokea nchini Misri walipokuwa wameweka kambi.

Wachezaji wa Simba SC pamoja na benchi la ufundi, tayari wamewasili jijini Dar wakitokea nchini Misri walipokuwa wameweka kambi. Simba waliweka kambi nchini Misri kwa takriban wiki tatu kabla ya kurejea tayari kabisa kwa ajili ya kuanza msimu mpya wa 2024-25 ambapo shamrashamra zitaanza Jumamosi hii Agosti 3, 2024 watakapokipiga na APR siku ya Simba Day.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live