Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

"Simba sio timu ya kutisha"- Mbunge Mavunde

Video Archive
Sat, 2 Oct 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mbunge wa Dodoma Mjini Anthony amesema Simba Sports sio timu ya kutisha kwa kuwa waliweza kuhimili sehemu kubwa ya mchezo huo.

Mbunge Mavunde amesema kama isingekua kadi nyekundu aliyyoneshwa mchezaji wao basi pengine mambo yangekuwa tofauti.

Aidha akizungumzia kuhusu suala la kutoa Motisha kwa wachezaji wao baada ya wengi kulalamikia suala hilo, amesema hilo ni suala la kawaida kwa vilabu na wao kama Dodoma Jiji huo ni utaratibu wao wa siku nyingi na hata tatizo nao.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live