Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba kweli wamepania (+Video)

Video Archive
Thu, 7 Oct 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wakati wachezaji wao 15, wakiziwakilisha timu zao za Taifa katikia michezo ya kuwania kufuzu kwa Fainali za Kombe la dunia Qatar 2022.

Wachezaji waliobaki wameendelea kujifua kwa nguvu zote katika Uwanja wao wa mazoezi, Mo Simba Arena uliopo Bunju, Jijini Dar es Salaam.

Kocha Didier Gomes ameendelea na mazoezi makali ya kujenga utimamu wa mwili kwa wachezaji wake huku akijua fika ana kazi ngumu mbele yake katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika na kibarua cha kutetea Ligi kuu (NBC Premier League)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live