Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba Yaipiga Namungo 4-0 Ligi Kuu Bara, Yabeba Ubingwa -Video

Video Archive
Mon, 19 Jul 2021 Chanzo: globalpublishers.co.tz

Simba Yaipiga Namungo 4-0 Ligi Kuu Bara, Yabeba Ubingwa -Video July 18, 2021 by Global Publishers



NGWE ya msimu wa 2020/21 imemeguka na kila timu imejua kile ambacho ilikuwa inahitaji ambapo Simba ni mabingwa wa Ligi Kuu Bara na zote mechi nane zimeonyeshwa katika Azam Media.

Haya hapa matokeo ya mechi zote ambazo zimechezwa leo, Julai 18:-

FT: Coastal Union 3-1 Kagera Sugar (Sopu 2’p, 59’, Mtenje 16’ / Mwaterema 19’).

FT: JKT 2-1 Mtibwa Sugar (Nurdin 12’p, Mgandila 85’ / Makang’a 56’).

FT: Mbeya City 4-0 Biashara United (Siraji 10’, Luizio 25’, 46’, 49’).

FT: Simba 4-0 Namungo (Kagere 19’, Mugalu 25’, 67’, Bocco 90’+4p).

FT: Tanzania Prisons 1-1 Gwambina (Mdoe 77’ / Japhet 81’p)

FT: Ruvu Shooting 0-1 Azam (Mudathir 42’).

FT: Polisi Tanzania 1-0 Mwadui (Shoji 48’)

FT: KMC 1-0 Ihefu (Ilanfya 81’)

Dodoma Jiji 0-0 Yanga.

Share this:TweetWhatsApp Related

Chanzo: globalpublishers.co.tz