Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Samatta kuhusu Tanzania kufuzu kombe la dunia "Tusipate uchizi, zimebaki game mbili"

Video Archive
Mon, 11 Oct 2021 Chanzo: millardayo.com

Kikosi cha Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars kimerejea alfajiri ya leo kikitokea Cotonou Benin ilikocheza mchezo wa kuwania kufuzu Kombe la Dunia 2022 nchini Qatar na kuibuka na ushindi wa goli 1-0 lililofungwa na Simon Msuva dakika ya 6.

Chanzo: millardayo.com