Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rais wa CAF aagiza uchunguzi furugu walizofanyiwa Simba Libya

Patrice Motsepe CHAN Rais wa CAF aagiza uchunguzi furugu walizofanyiwa Simba Libya

Tue, 17 Sep 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Africa (CAF), Patrice Motsepe jana katika Kikao Cha Watendaji wa CAF kilichofanyika KENYA aliagiza uchunguzi dhidi ya Vurugu wakizofanyiwa Simba nchini Libya.

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Africa (CAF), Patrice Motsepe jana katika Kikao Cha Watendaji wa CAF kilichofanyika KENYA aliagiza uchunguzi dhidi ya Vurugu wakizofanyiwa Simba nchini Libya. Motsepe ameyasema hayo jana wakati akihojiwa na waandishi wa habari alipohudhuria Kikao hicho.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live