Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rais Magufuli amteua Dkt. Budeba

9786 35987863 1274745789323582 3611547869317693440 N TZWeb

Sat, 23 Jun 2018 Chanzo: bongo5.com

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Dkt. Yohana Luhunga Budeba kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (Tanzania Agricultural Research Institute – TARI).

Loading...
Chanzo: bongo5.com