Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Nyota kadhaa wakosa mazoezi Stars, sababu zatajwa

Video Archive
Mon, 4 Oct 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Meneja wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Nadir Haroub amesema kuwa nahodha Mbwana Samatta atawasili leo saa tano huku Simon Msuva yeye atawasili kesho asubuhi.

Nyota hao wanakuja kwa ajili ya maandalizi kwenye mchezo ujao dhidi ya Benin wanahitaji kupata ushindi ili kuweza kufuzu Kombe la Dunia.

Wachezaji ambao waliripoti kambini na wamepewa mapumziko ni Erasto Nyoni, Shomari Kapombe na Bakari Mwamnyeto hawa wamepewa mapumziko kwa kuwa wanamaumivu huku Jonas Mkude akiwa na matatizo ya kifamilia.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live