Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#NBCLIGIREVIEW: Tazama matukio yote muhimu Mbeya City vs Simba (+Video)

Video Archive
Tue, 18 Jan 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Simba SC walikuwa ugenini kule katika uwanja wa Sokoine kule Jijini Mbeya, kupepetana na wenyeji Mbeya City.

Mchezo huo uliisha kwa Simba kukubali kichapo cha goli 1-0, huku Mbeya City wakimaliza mchezo huo wakiwa pungufu baada ya Nahodha wao kupewa kadi nyekundu.

Hali kadhalika Simba pia walipata penati kipindi cha Pili laki Chris Mugalu alishindwa kuweka mpira wavuni.

Tazama Video kuona matukio yote muhimu yaliyojitokeza katika mchezo huo, kuanzia magoli, kadi na Penati.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live