Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#NBCLIGIREVIEW: Tazama magoli yote, Simba vs KMC (+Video)

Video Archive
Mon, 20 Jun 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Juni 19 Simba walishuka Dimbani katika Uwanja wa Mkapa kukipiga na KMC mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara.

Mchezo huo ulishuhudia Simba wakiibuka na ushindi wa magoli 3-1, na pia ukitumika kumuaga kiungo wao Rally Bwallya aliyeuzwa Afrika ya Kusini.

Tanzaniaweb tumekusogezea magoli yote katika mchezo huo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live