Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#NBCLIGIREVIEW: Tazama magoli yote, Simba vs Geita Gold (+Video)

Video Archive
Thu, 18 Aug 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Agosti 17, Simba SC walikuwa Uwanjani katika dimba la Mkapa wakitupa karata yao ya kwanza mchezo wa Ligi Kuu bara dhidi ya Geita Gold.

Tofauti na msimu uliopita Simba wameanza kwa kukusanya alama tatu na kujikita kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu wakati huu ambapo mechi za mzunguko wa kwanza zimekamilika.

Simba iliondoka na ushindi wa magoli 3-0 huku magoli yake mawili yakiwekwa kambani na nyota wapya waliosajiliwa msimu huu.

Augustine Okrah na Moses Phiri wameshafungua akaunti ya magoli katika klabu yao mpya huku goli la tatu likiwekwa kimiani na Clatous Chama.

Tanzaniaweb tunakusogezea matukio yote muhimu yaliyojiri katika mchezo huo uliokuwa na ushindani.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live