Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#NBCLIGIREVIEW: Tazama Magoli yote Coastal vs Yanga (+Video)

Video Archive
Mon, 17 Jan 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Jumapili ya Januari 16 Yanga walikuwa wageni pale Mkwakwani Stadium wakipepetana na Coastal Union kutoka Jijini Tanga.

Yanga waliingia katika mchezo huo huku wakiwa na kumbu kumbu mbaya ya kutoshinda katika uwanja huo kwa takribani Miaka sita.

Mpaka dakika 90 zinakamilika Yanga walikuwa wababe wakiibuka na ushindi wa magoli 2-0, magoli yaliyofungwa na Fiston Mayele kipindi cha kwanza kwa mpira safi wa kichwa na Saidi Ntibazonkiza dakika za mwishoni.

Tazama magoli yote yaliyofungwa katika mchezo huo;

Chanzo: www.tanzaniaweb.live