Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#NBCLIGIREVIEW: Tazama Goli la Mtibwa vs Coastal Union, Ligi Kuu Disemba 28 (+Video)

Video Archive
Wed, 29 Dec 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya kuanza Ligi hovyo na kuburuza mkia katika jedwali la msimamo kwa muda mrefu, hatimaye Mtibwa yafanya kweli.

Siku ya jana imepata ushindi ugenini dhidi ya timu ngumu ya Coastal ukiwa ni ushindi wake wa pili msimu huu.

Ushindi wa jana umewapandisha mpaka nafasi ya 13 wakijikusanyia alama 10 baada ya kucheza michezo 11.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live