Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Museveni afanya uteuzi mzito...

Watalii Waliouawa Uganda Walikuwa Kwenye Fungate   Rais Museveni Museveni afanya uteuzi mzito...

Tue, 20 Aug 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rais wa Uganda, Yoweri Museveni amefanya uteuzi wa wakuu wa mikoa 10, wakuu wa wilaya 146 na Manaibu wakuu wa wilaya 169.

Kulingana na taarifa ambayo Rais Museveni amechapisha kwenye ukurasa wake wa X, amesema uteuzi huo ni sehemu ya utekelezaji wake wa Mamlaka aliyopewa Rais wa Jamhuri ya Uganda chini ya Ibara ya 99 na 203 ya Katiba ya 1995.

“Kwa hivyo, ninateua watu wafuatao kuwa Makamishna Wakazi wa Wilaya/Miji, Manaibu na Makamishna katika Sekretarieti ya RDC (Resident District Commissioner).

Chanzo: www.tanzaniaweb.live