Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Museveni : Kuleni Mihogo kama Mbadala wa Mkate

Yoweri Kaguta Rais wa Uganda, Yoweri Kaguta Museveni

Sun, 1 May 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rais wa Uganda, Yoweri Museveni amewashauri Waganda kula Mihogo kama mbadala wa Mkate ambao bei yake imeongezeka kutokana na kuathiriwa kwa usambazaji wa Ngano.

Rais wa Uganda, Yoweri Museveni amewashauri Waganda kula Mihogo kama mbadala wa Mkate ambao bei yake imeongezeka kutokana na kuathiriwa kwa usambazaji wa Ngano. Akizungumza katika Sikukuu ya Wafanyakazi amesema ongezeko la bei ni matokeo ya majanga ya asili ikiwemo COVID-19 pamoja na athari za uvamizi wa Urusi Nchini Ukraine ambazo zimesababisha uhaba wa bidhaa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live