Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Msuva afunguka "ilikuwa siku ngumu kukosa nafasi za wazi

Video Archive
Mon, 11 Oct 2021 Chanzo: AyoTV

Kikosi cha Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars kimerejea Tanzania alfajiri ya leo kikitokea Cotonou Benin kilikocheza mchezo wa kuwania kufuzu Kombe la Dunia 2022 nchini Qatar na kuibuka na ushindi wa goli 1-0 lililofungwa na Simon Msuva dakika ya 6.

Kikosi cha Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars kimerejea Tanzania alfajiri ya leo kikitokea Cotonou Benin kilikocheza mchezo wa kuwania kufuzu Kombe la Dunia 2022 nchini Qatar na kuibuka na ushindi wa goli 1-0 lililofungwa na Simon Msuva dakika ya 6. "Tunashukuru tumefika salama, tumeshinda lakini ushindi ni wa Watanzania wote tunaangalia michezo ambayo ipo mbele yetu, mchezo wa hapa nyumbani tulipata nafasi nyingi tukashindwa kuzitumia lakini Benin tukazitumia, nafurahi kufunga goli nali-dedicate kwa Wazazi wangu na Mashabiki pia" ——— Msuva

Chanzo: AyoTV