Thu, 27 Jul 2023
Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Mshambuliaji wa Timu ya Taifa ya Wanawake ya Argentina Yamila Rodriguez (25) amewajibu Mashabiki wanaomkosoa ktokana na kujichora Tattoo yenye sura ya Criastiano Ronaldo.
Mshambuliaji wa Timu ya Taifa ya Wanawake ya Argentina Yamila Rodriguez (25) amewajibu Mashabiki wanaomkosoa ktokana na kujichora Tattoo yenye sura ya Criastiano Ronaldo. Msakata kambumbu huyo amesema kuwa kumchora Ronaldo katika mguu wake haimaanishi kwamaba anamchukioa Lionel Messi.
Chanzo: www.tanzaniaweb.live