Sat, 13 Jan 2024
Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Mashabiki wa Napoli wamesafiri kutoka Italia mpaka Ivory Coast kwa ajili ya kumshabikia Mshambuliaji wa Klabu hiyo,Victor Osmhen ambaye yupo na timu ya Taifa ya Nigeria kwenye Michuano ya AFCON inayotarajiwa kuanza hii leo.