Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Makonda ajitokeza kumzika Baba wa GSM (+Video)

Video Archive
Tue, 1 Mar 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, ni miongoni mwa watu mashuhuri walioshiriki katika mazishi ya Baba Mzazi wa Mmiliki wa Kampuni wa GSM, Mr Ghalib Said Mohammed

Makonda amejitokeza katika msikiti wa Maamur Upanga, ambapo ndipo mwili wa Baba wa GSM Uliposwaliwa.

Makonda ni miongoni mwa watu waliofanya kazi na Makampuni ya GSM wakati wa Uongozi wake, lakini pia ni watani wa jadi na GSM.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live