Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#MAPINDUZICUP2022REVIEW: Tazama magoli yote, Yanga vs Taifa Jang'ombe (+Video)

Video Archive
Thu, 6 Jan 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Usiku wa Jana Yanga ilitoka kifua mbele katika mchezo wake wa Kwanza wa Mapinduzi Cup dhidi ya Taifa Jang'ombe ya visiwani Zanzibar.

Mchezo huo uliopigwa katika Uwanja wa Amaan, ulishuhudia wakali hao wa Ligi Kuu Tanzania Bara wakiibuka na ushindi wa magoli 2-0 yaliyowekwa kimiani na Makambo 32' na mchezaji mpya wa Kikosi hicho Denis Nkane.

Tazama magoli yote hapa, Tanzaniaweb tumekusogezea

Chanzo: www.tanzaniaweb.live