Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#LIVE: Yanga wanazungumza na Wanahabari muda huu kuelekea Derby ya Kariakoo (+Video)

Video Archive
Mon, 25 Apr 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ikiwa zimebaki siku tano kuelekea katika mchezo wa Watani wa Jadi Simba na Yanga ambayo itapigwa April 30 mwaka huu.

Vinara wa Ligi Kuu NBC,na wenyeji wa mchezo huo wanazungumza na Wanahabari muda huu.

Tanzania Web inakujuza kila kitu ambacho kinaendelea katika Mkutano huo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live