Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#LIVE: Yanga wanazungumza na Wanahabari muda huu (+Video)

Video Archive
Wed, 16 Mar 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Yanga inazungumza na Wanahabari muda huu, miongoni mwa mambo wanayozungumza ni kuhusiana na mchezo wao wa hisani dhidi ya Timu ya Taifa ya Somalia kwa Kukusanya fedha kwa mfuko wa Ally Kimara Foundation.

Hali kadhalika wanazungumza kuhusiana na mchezo wao unaofuata wa Ligi utakaopigwa Machi 19.

Msikilize Msemaji wa Yanga, Haji Manara akifunguka;

Chanzo: www.tanzaniaweb.live