Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#LIVE: Yanga wanazungumza na Wanahabari, Mwenyekiti atoa neno (+Video)

Video Archive
Mon, 4 Jul 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwenyekiti wa Kamati ya uchaguzi wa Yanga wanazungumza na wanahabari kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Klabu ambao ulikuwa ufanyike julai 10.

Mbali na hilo Mwenyekiti wa sasa wa Yanga, Dk Mhindo Msolla anatoa neno akiwa kama kiongozi ndani ya Klabu.

Uchaguzi wa Yanga kampeni zinaanza leo na utafanyika tarehe 9 kutokana na tarehe 10 kuwa ni Sikukuu ya Eid.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live