Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#LIVE: Yanga wanazungumza na Wanahabari Muda huu (+Video)

Video Archive
Tue, 28 Jun 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya Juzi, June 25 kukabidhiwa Kombe lao la Ubingwa kwa msimu wa 2021/2022 katika Uwanja wa Sokoine.

Jumapili ya June 26, Yanga walifanya balaa kubwa katika Jiji la Dar es Salaam pale walipoandaa sherehe ya kusherehekea ubingwa huo wa 28 kwa Klabu hiyo.

Sasa tangu kukabidhiwa kwa Kombe lao bado hawakupata nafasi ya kuzungumza ila muda huu Tanzania web tunakuletea Mkutano wa Viongozi wa Yanga wakizungumza na Vyombo vya Habari.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live