Fri, 22 Jul 2022
Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Baada ya siku ya Julai 21, Kamati ya Maadili ya TFF kumfungia Msemaji wa Yanga Haji Manara kujihusisha na soka kwa miaka miwili na Faini ya milioni 20.
Wazee wa Klabu ya Yanga, hawajakubaliana na hukumu hiyo na wametaka haki ifuatwe kabla hawajaomba kuonana na Rais Samia Suluhu Hassan.
Wasikilize wazee wa Yanga wakizungumza.
Chanzo: www.tanzaniaweb.live