Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#LIVE: Simba wazindua Rasmi wiki ya Hamasa, wazindua Tawi (+Video)

Video Archive
Tue, 12 Apr 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ikiwa leo ndio siku ya Uzinduzi wa wiki ya Hamasa kuelekea mchezo wa Robo Fainali Kombe la Shirikisho Afrika, dhidi ya Orlando Pirates, Simba wanazindua tawi la "Tunawakera" Chang'ombe Maduka mawili.

Uzinduzi huo wa wiki ya hamasa na Tawi la "Tunawakera" umehudhuriwa na Mwenyekiti wa Simba, Murtaza Mangungu, Hassan Dalali na Mwina Kaduguda.

Simba wanajiandaa kucheza mchezo wa Robo Fainali Kombe la Shirikisho April 17 katika Uwanja wa Benjamin Mkapa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live