Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

LIVE: Simba wanaingia Mkataba na emirate aluminium muda huu

Video Archive
Tue, 21 Sep 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wekundu wa Msimbazi Simba Sports Club wameingia Makubaliano na Kampuni ya Emirate aluminium.

Katika taarifa yao kupitia mitandao yao ya kijamii, Simba wameandika;

"Mkataba wa Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwezi.

Karibu kwenye familia ya mabingwa kampuni ya Emirate Aluminium ACP".

Chanzo: www.tanzaniaweb.live