Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#LIVE: Injinia Hersi anazungumza na Wanahabari Muda huu, ataja vipaumbele (+Video)

Video Archive
Tue, 5 Jul 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mgombea pekee wa Urais wa Klabu ya Yanga Injinia Hersi Said anazungumza na Wanahabari Muda huu akielezea Vipaumbele vyake vikuu atakapopewa ridhaa ya kuiongoza klabu ya Yanga.

Mgombea pekee wa Urais wa Klabu ya Yanga Injinia Hersi Said anazungumza na Wanahabari Muda huu akielezea Vipaumbele vyake vikuu atakapopewa ridhaa ya kuiongoza klabu ya Yanga. Tayari dirisha la Kampeni limefunguliwa kwa wagombea kuweza kujinadi katika uchaguzi unaokwenda kufanyika Julai 9.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live