Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

"Kombe tumekuja nalo na tutaondoka nalo"- Manara

Video Archive
Thu, 6 Jan 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msemaji wa Klabu ya Wanachi Haji Manara amejinasibu kwamba wamekuja na kombe la Mapinduzi Cup kama mabingwa watetezi na wana uhakika wa kuondoka nalo kama mabingwa wapya.

Haji amesema kuwa baadhi ya wachezaji walikuwa mapumziko na kuanzia leo Januari 6, wataanza kuingia visiwani humo kuungana na Timu.

Msikilize hapa akizungumza;

Chanzo: www.tanzaniaweb.live