Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Klabu inayomilikiwa na Kante yamsajili Pogba

Pogba Vssssss Klabu inayomilikiwa na Kante yamsajili Pogba

Fri, 26 Jul 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Royal Excelsior Virton inayoshiriki Ligi daraja la tatu Nchini Ubelgiji imekamilisha usajili wa beki Royal Florentin Pogba raia wa Guinea kwa uhamisho huru.

Mmoja wa wamiliki wa klabu hiyo ni kiungo wa zamani wa zamani wa Leicester City na Chelsea, N’Golo Kanté ambaye kwa sasa anachezea klabu ya Al Ittihad ya Saudi Arabia.

Florentin Pogba ni ndugu wa kiungo wa zamani wa Manchester United na timu ya taifa ya Ufaransa, Paul Pogba.

Pogba (33) ambaye amewahi kuvichezea vilabu vya Sochaux na Saint-Etienne, amekuwa mchezaji huru tangu alipoondoka Mohun Bagan ya nchini India.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live