Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kipigo chamng'oa kocha AS Vita Club

Ouaddou Abdeslam Ouaddou

Wed, 18 Sep 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha Abdeslam Ouaddou (44) amejiuzulu nafasi ya ukocha mkuu wa AS Vita Club baada ya kufungwa na Stellenbosch FC.

Mchezaji huyo wa zamani wa kimataifa wa Morocco pia alizozana na mashabiki wa klabu hiyo wakati wa mechi ya usiku wa kuamkia leo.

Hiki Kichapo kimemfanya Kocha wa As Vita ajiuzulu

FT: Stellenbosch 2-0 AS Vita

⚽️ Moloisane 7’

⚽️ Mojela 12’.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live