Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kipa JKU aeleza ulipo ubora wa Mayele

Video Archive
Mon, 11 Oct 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mlinda mlango wa JKU SC ambaye alifungwa bao 1-0 kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya Yanga ameweka wazi kuwa kupotezwa kwao mbele ya wapinzani hao haikuwa malengo yao ila walikutana na timu ambayo ipo vizuri huku akimtaja mshambuliaji Fiston Mayele kuwa mmoja ya wachezaji ambao walikuwa bora Uwanja wa Mkapa Oktoba 10.

Mlinda mlango wa JKU SC ambaye alifungwa bao 1-0 kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya Yanga ameweka wazi kuwa kupotezwa kwao mbele ya wapinzani hao haikuwa malengo yao ila walikutana na timu ambayo ipo vizuri huku akimtaja mshambuliaji Fiston Mayele kuwa mmoja ya wachezaji ambao walikuwa bora Uwanja wa Mkapa Oktoba 10. Katika mechi hiyo ya kirafiki, Yanga ilipata bao lake la pekee kupitia kwa Straika wake Fiston Mayele.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live