Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kauli ya bondia Twaha Kiduku baada ya kupokelewa Moro

Video Archive
Mon, 23 Aug 2021 Chanzo: millardayo.com

Agosti 22, 2021 Bondia wa ngumi za kulipwa nchini, Twaha Kiduku amepokelewa kwa shangwe mkoani Morogoro baada ya kuibuka mshindi dhid ya mpinzani wake katika pambano la uzito wa Kati lililochezwa usiku wa Agosti 21, 2021 jijini Dar es Salaam.

Agosti 22, 2021 Bondia wa ngumi za kulipwa nchini, Twaha Kiduku amepokelewa kwa shangwe mkoani Morogoro baada ya kuibuka mshindi dhid ya mpinzani wake katika pambano la uzito wa Kati lililochezwa usiku wa Agosti 21, 2021 jijini Dar es Salaam. Shuhudia namna wakazi wa Morogoro walivyojitokeza kumpokea Bingwa wao Twaha Kiduku.

Chanzo: millardayo.com