Kuelekea kuanza kwa msimu mpya 2024/25 hivi ni viwanja 12 ambavyo hadi sasa vipo kwenye orodha ya kutumika kwenye Ligi kuu ya Tanzania Bara
-KMC Complex, Dar es Salaam KMC FC & Simba SC & Coastal Union FC
-Azam Complex, Dar es Salaam Azam FC & Yanga SC
-Sokoine Stadium, MBEYA KenGold FC & Tanzania Prisons FC
-Lake Tanganyika, KIGOMA Mashujaa FC
-CCM Kirumba, Mwanza Pamba Jiji FC
-Majaliwa Stadium, Lindi Namungo FC
-Kaitaba Stadium, Kagera Kagera Sugar FC
-Meja Isamuhyo, Dar es Salaam JKT Tanzania
-Ali Hassan Mwinyi, Tabora Tabora United FC
-Tanzanite, Manyara Fountain Gate FC
-CCM Liti, Singida Singida Black Stars FC
-Jamhuri Stadium, Dodoma Dodoma Jiji FC.
Uwanja ambao utatumiwa na timu nyingi zaidi ni KMC Complex [ KMC FC, Simba SC na Coastal Union.
Uwanjani wa Taifa Benjamin Mkapa Stadium hatatumika kwenye mechi za Ligi ili kupisha matengenezo yanayoendelea.
Uwanja wa CCM Mkwakwani ulioko Jijini Tanga Bado unaendelea na marekebisho kwenye sehemu ya kuchezea zinawekwa nyasi mpya vile vile unaboreshwa kwenye Majukwaa wanaweka viti na wanajenga vizuri sehemu za wachezaji kubadilishia nguo