Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Feisal adaiwa kugomea mkataba mpya wa Azam FC

Feisal Salum Fei Toto Msamah Feisal adaiwa kugomea mkataba mpya wa Azam FC

Thu, 19 Sep 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Nyota wa Azam FC Feisal Salum 'Feitoto' amegomea ofa ya kuongeza Mkataba mpya Klabuni hapo kwa mara ya pili.

Nyota wa Azam FC Feisal Salum 'Feitoto' amegomea ofa ya kuongeza Mkataba mpya Klabuni hapo kwa mara ya pili. Feisal ameweka sharti zito ambapo amewaambia kuwa kama kweli Azam wanataka abaki Klabuni hapo basi wawe wanamlipa mshahara wa Tsh Milioni 70 kwa mwezi jambo ambalo Azam hawawezi kukubali.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live