Tue, 10 Sep 2024
Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Aliyekuwa mshambuliaji wa Barcelona, Manchester United na Atletico Madrid Memphis Depay amejiunga na klabu ya Corinthians ya ligi kuu Brazil akitokea kwa mkataba wa miaka miwili hadi mwaka 2026.
Aliyekuwa mshambuliaji wa Barcelona, Manchester United na Atletico Madrid Memphis Depay amejiunga na klabu ya Corinthians ya ligi kuu Brazil akitokea kwa mkataba wa miaka miwili hadi mwaka 2026. Depay ambaye amejiunga na Corinthians akiwa mchezaji huru baada ya kuachwa na Atletico Madrid jana alifanyiwa vipimo vya afya jijini Eindhoven.
Chanzo: www.tanzaniaweb.live