Sat, 13 Jan 2024
Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Cole Palmer amefunga Magoli 9 kwenye mechi 17 za Premier League tangu ajiunge na Chelsea.
Amefunga Penati zote 5/5 kwenye Ligi Kuu msimu huu.
Pia hakuna mchezaji mwenye umri wa miaka 21 au chini ya miaka 21 ambaye amewahi kufunga mabao mengi katika msimu mmoja wa Premier League akiwa na Chelsea zaidi ya Cole Palmer.
Chanzo: www.tanzaniaweb.live