Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

TV

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Camavinga amfariji Vinicius kukosa Ballon D'or

FZEXOFX3WJIBBKSR66QZ5ERMXY Camavinga amfariji Vinicius kukosa Ballon D'or

Tue, 29 Oct 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mchezaji wa Real Madrid Eduardo Camavinga baada ya kutangazwa mshindi wa tuzo ya Ballon d'Or usiku wa leo kuwa ni Rodri wa Man City ameandika ujumbe kwenye ukurasa wake wa Instagram akionekana kumfariji mchazaji mwenzake Vini Jr aliyekosa tuzo hiyo.

Camavinga amechapisha picha akiwa na Vinicius kwenye ukurasa wake wa Instagrama na kuandika "Hauhitaji hiyo Mchezaji bora Duniani".

Vinicius ameshika nafasi ya pili kwenye orodha ya wachezaji bora duniani na kumfanya kushindwa kutwaa tuzo hiyo.

Orodha ya wachezaji bora duniani mwaka 2024.

1: Rodrigo Hernandez ( Hispania , Man City )

2: Vinícius Júnior (Brazil, Real Madrid)

3: Jude Bellingham (England, Real Madrid)

4: Dani Carvajal (Spain, Real Madrid)

5: Erling Haaland (Norway, Manchester City.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live