Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yafahamu maisha ya jamaa anaekula wembe "Master J alikimbia" (+video)

Video Archive
Wed, 4 Nov 2020 Chanzo: millardayo.com

Kutoka Ilemela Mwanza kutana na Elipidix Gosbert (23) kijana mwenye kipaji cha kutafuna wembe bila kudhurika na amewahi kushiriki kwenye matamasha likiwemo shindano la BSS 2020, anasema kipaji chake cha kula wembe ndio tegemeo lake kubwa la kujikimu kimaisha mfano una sherehe yako mnakaa mezani na kukubaliana umlipe kiasi kadhaa cha pesa ale idadi flani ya wembe.

Chanzo: millardayo.com