Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wewe umeharibu barabara, nakushughulikia ngoja nifike DAR" Rais Magufuli atoa onyo (+video)

Video Archive
Thu, 30 Jul 2020 Chanzo: millardayo.com

Rais Dkt. John Magufuli akiwa njiani kurudi DSM ametoa maagizo kwa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Isack Kamwelewe kuhakikisha barabara ya Lindi inajengwa katika maeneo yote yaliyoharibika.

”Mmeniudhi Wizara ya Ujenzi, sijafurahia. Nimetoka na machungu kwa kumzika Mzee Mkapa, lakini hapa Somanga napo nimepata machungu kwa kukuta barabara hii haijatengenezwa” Rais Magufuli

“Barabara hii ya Mtwara-Lindi-DSM imeharibika sana, Waziri wa Ujenzi atafute utatuzi wa hii Barabara, ajipange, utunzaji sio mzuri” Rais Magufuli

“Hii barabara imeharibika, huwezi ukaamini kama tuna Waziri wa Ujenzi. Kilometa 90 zote nilikuwa nahesabu zimeharibika” Rais Magufuli 

Chanzo: millardayo.com