Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

"Wengine wanadhani Siasa ndio pilau, ugali, hatuwezi kuwa Marais wot" Simbachawene (+video)

Video Archive
Mon, 17 Aug 2020 Chanzo: millardayo.com

Waziri wa Mambo ya Ndani George Simbachawene, amevionya vyama vinavyofanya siasa zenye viashiria vya kuvuruga amani na kuvitaka vyombo vya ulinzi na usalama kudhibiti jambo hilo bila kujali ni chama kipi kimefanya ili harakati za uchaguzi zisisababishe baadhi ya Watanzania kupoteza maisha.

Waziri wa Mambo ya Ndani George Simbachawene, amevionya vyama vinavyofanya siasa zenye viashiria vya kuvuruga amani na kuvitaka vyombo vya ulinzi na usalama kudhibiti jambo hilo bila kujali ni chama kipi kimefanya ili harakati za uchaguzi zisisababishe baadhi ya Watanzania kupoteza maisha. Simbachawene ameyasema hayo  Kigoma katika ziara yake ya kikazi, na kusema wanasiasa wasitumie wananchi kujitafutia umaarufu wa kisiasa na kuwa wana jukumu la kuhakikisha kila hatua wanayoifanya haileti madhara kwa wananchi.

Chanzo: millardayo.com