Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Waziri Mkuu kuongoza Wakazi wa Chato Kuaga Mwili wa JPM - Video

Video Archive
Thu, 25 Mar 2021 Chanzo: globalpublishers.co.tz

Waziri Mkuu kuongoza Wakazi wa Chato Kuaga Mwili wa JPM – Video March 25, 2021 by Global Publishers



Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa leo Alhamisi, Machi 25, 2021, ataongoza wakazi wa Chato na wananchi wa Mikoa ya jirani kuaga mwili wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, katika Uwanja wa Miguu uliyopo Chato.

Akizungumza wa waandishi wa habari, Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt Hassan Abbas, amesema leo ni siku maalum kwa wakazi wa chato kuaga mwili wa mpendwa wao.

Chanzo: globalpublishers.co.tz