Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wavunja vioo vya madirisha 12 madarasa yaliyojengwa kwa fedha za UVIKO- Video

Video Archive
Sat, 9 Apr 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Watu wasiojulikana wamevunja vioo vya madirisha 12 katika shule ya Sekondari Kibedya Wilaya ya Gairo Mkoa Morogoro Madarasa ambayo yamejengwa kwa fedha za UVIKO 19.

Diwan wa kata ya Kibedya Benedicto Masatu amethibitisha kutokea kwa tukio hilo ambapo amesema katika Shule hiyo yamejengwa Madarasa 6 Kutoka mfuko wa COVID 19  hivyo watu wasiojulikana wamevunja vioo vya Madirisha 12 ambayo thamani yake bado haijafahamika.

"Nalaani vikali sana wwatu waliofanya tukio hili, kwasababu aliyefanya hivi anatakiwa ashitakiwe kama hujumu uchumi"...

Video kwa hisani ya AyoTV

Chanzo: www.tanzaniaweb.live