Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Watoto wadaiwa kubaka na kulawiti mtoto mwenzao

WATOTO WEEEE Watoto wadaiwa kubaka na kulawiti mtoto mwenzao

Wed, 24 Jul 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Watoto wawili wamepelekwa kwenye shule ya maadilisho mkoani Manyara baada ya kubaka na kulawiti mtoto wa miaka sita.

Washtakiwa hao wametenda makosa mawili ya kubaka na kulawiti kwa kundi na adhabu yao ni kwa mujibu wa sheria ya watoto namba 13 kama ilivyofanyiwa mapitio 2019.

Hukumu hiyo imetolewa juzi Julai 22, 2024 na Hakimu Mkazi wa Mahakama ya watoto iliyoko Mahakama ya wilaya ya Kiteto akiwemo Mwendesha Mashtaka Willfred Mollel Adhabu hiyo kwa watoto hao waliolawiti na kubaka ambao ni wa miaka 15 na 16 ni kwenda shule ya maadilisho kwa miaka 3 pamoja na viboko.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live