Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Watetezi wa Rasilimali Wasio na Mipaka wauponda waraka wa maaskofu (Video)

Video Archive
Fri, 30 Mar 2018 Chanzo: bongo5.com

Taasisi ya Watetezi wa Rasilimali Wasio na Mipaka wamefunguka kuzungumzia mambo yanayoendelea nchini Tanzania likiwemo tamko la maaskofu juu ya serikali ya Rais Magufuli. Hayo ameyasemwa Alhamisi hii na Mkurugenzi wa Utafiti wa Watetezi wa Rasilimali Wasio na Mipaka, Phillipo Mwakibinga wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam katika hotel ya Traveltime.

Taasisi ya Watetezi wa Rasilimali Wasio na Mipaka wamefunguka kuzungumzia mambo yanayoendelea nchini Tanzania likiwemo tamko la maaskofu juu ya serikali ya Rais Magufuli. Hayo ameyasemwa Alhamisi hii na Mkurugenzi wa Utafiti wa Watetezi wa Rasilimali Wasio na Mipaka, Phillipo Mwakibinga wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam katika hotel ya Traveltime. 78775446

Chanzo: bongo5.com